Sam

Sam @community_pharmacist

Former Junior pharmacist at Aga Khan🏥
Keeping you up to date on your pharmaceuticals💊
Committed to your health🚑

#MAGA #trumpinauguration #trumpinauguration2017 #melaniatrump 6PM at the MAKE AMERICA GREAT AGAIN welcome celebration in the District of Columbia (DC). Mungu akisema ndio hakuna wakupinga

#MAGA #trumpinauguration #melaniatrump Today's the day Just like the 2nd presidential debate I am proud of u🙌

Haha #MAGA 🙌🙌🙋 make america great again #teamtrump

Caption it #untainted

@community_pharmacist hio 🍷ni apple juice

Happy birthday Pastor Isaac. Follow pastor at @imallonga

.
DAWA NA VITA DHIDI YA 'U' BONGE
.
Baadhi ya dawa zinazotumika kutibu magonjwa kama vile kisukari, shinikizo la damu, akili nk zaweza kuongeza uzito wa mwili .
Haijulikani hasa kwa nini dawa hizi huongeza uzito watalaam hutaja mambo kama kuongeza hamu ya kula, kubakiza maji mwilini na kupunguza uwezo wa mwili kuunguza mafuta kama baadhi ya sababu
.
Kama dawa imeongeza uzito kwa haraka hakikisha unarudi kwa daktari. Usiache kutumia dawa mpaka ushauri wa daktari
.
Daktari anaweza kubadili dawa, shusha dose au kukushauri kuanza mazoezi
.
Usikose next post dawa zinazoongeza uzito na dawa za kupunguza uzito

#community_pharmacist #askyourpharmacist

UKWELI KUHUSU WINO WA VOCHA NA SARATANI
.
Kuna ujumbe unaotembea kwenye mitandao ya kijamii unaosema Dr wa marekani wamegundua kuwa kuna "Silver Nitro Oxide" kwenye wino wa vocha unaoleta saratani(cancer)
.
Kwanza hamna kisayansi kemikali yeyote inayoitwa silver nitro oxide, yaani "it does not exist". Badala yake kuna "nitric oxide" na "nitrous oxide" zote hazina silver na haziusiki na kadi za vocha
.
Hamna utafiti wowote wa uhakika wa kisayansi uliofanywa unaohusu kadi za vocha na saratani
.
Wino unaoficha tarakimu za vocha unatengenezwa na latex au wino wa uv ambao hamna tafiti zilizoonyesha kuleta saratani
.

#community_pharmacist #trustyourpharmacist

KIAMA CHA MALARIA?
.
Watafiti toka Massachusets Institute of Technology wametengeneza kidonge kinachoweza kukaa tumboni Kwa muda wa Wiki 2
.
Faida ni kuweza kunywa dawa bila kuwa na haja ya kurudia rudia dozi hivyo kuepuka drug resistance(dawa kushindwa kufanya Kazi kutokana na kukosa dozi)
.
Faida nyingine kubwa ni kuweka tumboni dawa ya malaria aina ya IVERMECTIN ambayo itaua mbu anaekunyonya damu hivyo kutokomeza malaria
.
#communitypharmacist #askyourpharmacist #revolution

KIAMA CHA MALARIA?
.
Watafiti toka Massachusets Institute of Technology wametengeneza kidonge kinachoweza kukaa tumboni Kwa muda wa Wiki 2
.
Faida ni kuweza kunywa dawa bila kuwa na haja ya kurudia rudia dozi hivyo kuepuka drug resistance(dawa kushindwa kufanya Kazi kutokana na kukosa dozi)
.
Faida nyingine kubwa ni kuweka tumboni dawa ya malaria aina ya IVERMECTIN ambayo itaua mbu anaekunyonya damu hivyo kutokomeza malaria
.
#communitypharmacist #askyourpharmacist #revolution

Do you agree with the Dr? .
#donaldtrump #makeamericagreatagain

.
REMEMBER

.
PUA ZILIZOBANA👃
.
mambo ya kuzingatia
.
Unaweza kuandikiwa dawa ya kupuliza(nasal spray) e.g. octrivin
.
Inapatikana katika ujazo wa 0.1% above 12years kwa mtu mzima na 0.05% from 2 to 12 years kwa mtoto mdogo
.
Usitumie zaidi ya mara 3 Kwa siku na zaidi ya siku 5 kwa mfululizo. Asipewe mtoto chini ya miaka 2
.
Mwambie Dr wako kama unatumia antidepressants au unauonjwa wa moyo kabla ya kutumia dawa hii
.
Pata ushauri wa Dr au mfamasia kabla ya kutumia dawa hii Kama ni mjamzito
.
#community_pharmacist

.
USISAHAU DAWA ZAKO ZA KUPUNGUZA CHOLESTEROL .
mambo yakuzingatia
.
Utaandikiwa dawa hizi Kama cholesterol iko juu au iko chini lakini upo kwenye risk yaani una ugonjwa wa moyo au historia ya ugonjwa huu ktk familia unakisukari au mvutaji wa sigara
.
Tumia dawa hizi maisha yako yote Kama upo katika makundi tajwa
.
Dawa hizi hufanya kazi vizuri ukiongeza na mazoezi na kula vizuri
.
Dawa hizi hupunguza cholesterol kwa 50% mazoezi na chakula bora kwa 30%
.
Madhara yake ni pamoja na maumivu ya misuli Dr anaweza shusha dozi au badili dawa kupunguza madhara
.
Kunywa simvastatin usiku atorvastatin na rosuvostatin asubuhi usinywe pamoja na juisi

.
MUUJIZA WA PRENATAL
.
Prenatal ni multivitamin zilizotengenezwa kwa kujali mahitaji ya ujauzito na kunyonyesha
.
Dawa hizi uhakikisha mama ana madini na vitamini kwa ajili ya ukuaji wa mtoto na ujauzito wenye afya
.
Moja ya vitamini zinazopatikana ni asidi folio(folic acid) ambayo hupunguza kwa kiasi kikubwa mtoto kuzaliwa na mgongo wazi tatizo linalosemekana kusababishwa na vinasaba vya kurithi(genes) au mazingira yaani kukosa asidi folio
.
Inashauriwa kutumia dawa hizi tangu unapoanza kupanga kuwa mjamzito kuendelea hata kipindi cha kunyonyesha, na kwa sababu mimba nyingi hazipangwi akina dada walio na umri wa kupata ujauzito hushauriwa kuanza kutumia dawa zenye asidi folio hata kabla hawaja amua kupata ujauzito
.
Kunywa muda utakao kufaa saa 1 kabla ya kula

ALERT
.
tujitahidi kununua dawa kwenye PHARMACY iliosajiliwa na yenye mfamasia na sio maduka ya uchochoroni nashauri pia watu kuwa na mfamasia wako unaemuamini Kama ulivyo na daktari
.
@community_pharmacist habari kutoka @millardayo

MATUMIZI SAHIHI YA INSULIN PEN KWA WENYE KISUKARI
.
#communitypharmacist

MAZIWA SIO KATAZO KWA KILA DAWA.

Dos and don'ts food and drugs Part 1
.
1 usitumie dawa za presha aina ya ACE (captopril enalapril) na vyakula vyenye potassium Kama ndizi machungwa
.
2 usitumie maziwa na multivitamin, dawa za kuongeza damu na antibiotics

3 tumia dawa za kifafa Kama phenytoin na vyakula vyenye vitamin D Kama maziwa
.
#communitypharmacist

MATUMIZI SAHIHI YA INHALER SPACER NA MASK tag your friends and spread the word at #communitypharmacist

Sababu 5 kwanini dawa zako za kiungulia au acid hazifanyi kazi.

1. Kutotambua ugonjwa(misdiagnosis) Kuna magonjwa kama ya moyo na yale yanayoleta mvutano wa misuli ya njia ya chakula(esophagus) yanaweza leta dalili kama za kiungulia
2. Jinsi na muda wa kunywa dawa. Kunywa dawa zako dak 30-60 kabla ya breakfast na kama umeandikiwa mara mbili kabla ya dinner pia

3. Kiasi na aina ya chakula. vyakula vyenye mafuta vya kukaanga vilevi au pili pili huongeza acid hata kama utakunywa dawa. Kula kiasi kidogo cha chakula kila unapokula

4. Kusahau dozi
5. Kwenda kulala muda mchache baada ya kula na kutotumia mto

#trustyourpharmacist

TFDA yafuta usajili wa dawa zifuatazo -ketoconazole vidonge na capsules dawa ya fungus -amodiaquine ya maji na vidonge dawa ya malaria - chloramphenicol sindano dawa ya kuuwa bakteria -cloxacillin vidonge na capsule dawa ya kuua bakteria

MALE CONTRACEPTIVE AVAILABLE 2021 FEWER SIDE EFFETS COMPARED TO FEMALE PILL

#trustyourpharmacist #communitypharmacist #proffessionaldrugdealers #wataalamwadawa

UMEKUNYWA DAWA UKAPATA MADHARA (SIDE EFFECTS )? Usiache kutoa taarifa zinafika moja kwa moja MAMLAKA YA CHAKULA NA DAWA YA TANZANIA TFDA download ADR reporting tool now on Android.
Hakikisha unarudi kwa daktari au mfamasia kwa ushauri zaidi

NOT SULFUR BUT SULFA ALLERGY
Sulfur is a component of sulfates and sulfite preservatives, in addition to sulfa drugs. It is widely used in the production of pharmaceutical drugs and chemicals. Sulfa drugs are the first known antibiotics produced. The antimicrobial molecules inhibit the reproduction of bacteria. Allergic reactions to sulfa drugs may occur as a result of the actions of the antimicrobial molecules rather than as an allergic reaction to the sulfur in the drugs. Antibiotic sulfa drugs are more likely to cause an allergic reaction than non-antibiotic sulfa drugs.

Sulfur is a necessary part of healthy bodily function in humans. Sulfur molecules are present throughout the body and are found in essential amino acids. People who have sulfur and sulfite allergies do not have to avoid taking drugs or consuming other items that have sulfur in them because sulfur by itself is not believed to build up to unhealthy levels in the body or cause adverse reactions to consumption of the element

Clike For More